The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Krismasi Singida

magufuli-1

Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli leo wakiwa katika ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu Wa Yesu  Singida leo.

magufuli-2

…Wakiendelea na ibada.

magufuli-3

Rais Magufuli akiongea na Askofu wa Jimbo la Singida, Edward Mapunda.

magufuli-4 magufuli-5

Askofu  Mapunda akimuombea Magufuli.

6

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida

9

Rais  Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi.

15

Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini.

Comments are closed.