The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kuuawa Kwa Askari 14 DRC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha askari 14 wa Jeshi la JWTZ kuuawa walipokuwa katika operesheni ya kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Wanajeshi 14 Watanzania Wauawa DR Congo

Comments are closed.