The House of Favourite Newspapers

Rais Ruto Amvunja Mbavu Rais Samia, Mwinyi, Waziri Makamba Na Marais Wengine Akihutubia Tanzania – Video

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.

Rais wa Kenya, William Ruto amesema Tanzania inapaswa kuzalisha chakula kingi zaidi kwa ajili ya Afrika Mashariki kwa kuwa inapata mvua nyingi ukilinganisha na Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwakaribisha Marais kuzungumzia mafaniko yao kwenye Kilimo katika Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.

Leave A Reply