The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Aagana na Aliyekuwa Balozi wa China Nchini

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China aliyemaliza muda wake hapa nchini Wang Ke, Ikulu Chamwino.

Leave A Reply