The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi TASAF na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:

 

  • Amemteua Bw. Peter Ilomo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Ilomo ni katibu Mkuu Mstaafu na anachukua nafasi ya Dkt. Moses M. Kusiluka ambaye amemaliza kipindi chake.

 

  • Amemteua Bi. Mwantumu Bakari Mahiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Bi. Mahiza ni Skauti Mkuu Tanzania.

Leave A Reply