The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Alivyompokea Rais Wa Romania Klaus Werner Iohannis Ikulu, Dar -(Picha+Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimtambulisha Mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Klaus Werner Iohannis, Rais wa Romania Ikulu – Dar es Salaam leo tarehe 17 Novemba, 2023

Rais Samia  akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Romania, Klaus Iohannis akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023
Rais wa Romania, Klaus Iohannis akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Romania Klaus Iohannis akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Romania  Klaus Iohannis mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Romania ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo  Klaus Iohannis Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam kufuatia Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Romania Klaus Iohannis nchini Tanzania tarehe 17 Novemba 2023 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama na Waziri wa nchi wa masuala ya Dunia na Mikakati ya Kidiplomasia wa Romania Mhe. Traian- Laurentiu Hristea kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo iliyotiwa saini na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) Prof. Raphael T. Chibunda na Waziri wa nchi wa masuala ya Dunia na Mikakati ya Kidiplomasia wa Romania Mhe. Traian- Laurentiu Hristea kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Novemba 2023.

 

PICHA NA IKULU

Leave A Reply