Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud uliowasilishwa na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okesh mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Novemba 3, 2023.

