The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awahamisha Vituo vya Kazi; Serukamba, Mtatiro, Nassari, Gondwe na Dendego

0

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambapo Peter J. Serukamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida amehamishiwa Mkoa wa Iringa
Halima O. Dendego aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa amehamishiwa Mkoa wa Singida
Julius S. Mtatiro aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru amehamishiwa Wilaya ya Shinyanga
Joshua S. Nassari aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli amehamishiwa Wilaya ya Magu
Godwin C. Gondwe aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi amehamishiwa Wilaya ya Singida

 

Leave A Reply