The House of Favourite Newspapers

Rapa DMX Ametolewa Mashine za Kupumulia

0

MSANII nguli wa miondoko ya kufoka foka (Hip Hop) kutoka Marekani, Earl Simmon maarufu kama DMX ametolewa mashine za kupumulia na sasa ana uwezo wa kupumua mwenyewe bila msaada wa mashine, DMX aliwekewa mashine ya kumsaidia kupumua jana Jumamosi baada ya kuzidiwa.

 

Familia ya DMX imesema Rapa huyo aliwaishwa Hospitali White Plains, New York juzi Ijumaa baada ya kuzidisha matumizi ya dawa za kulevya (overdose).

Leave A Reply