The House of Favourite Newspapers

RC Mghwira Apona Covid-19, Asimulia Ilivyokuwa – Video

0


MKUUwa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwir,a ameanza kazi rasmi leo Mai 16, 2020 , ikiwa ni siku mbili tu baada ya kubainika hana tena maambukizi ya #VirusVyaCorona.

 

Alitangaza kuambukizwa virusi hivyo April 23 mwaka huu. Imeelezwa kuwa majibu ya vipimo vya mara ya pili alivyofanyiwa yanaonesha hana maambukizi ya ugonjwa huo (negative).

 

Ameeleza aliyapokea majibu yake baada ya kuguduliwa na virusi hivyo na kuongeza kuwa alipata wakati mgumu kuweka majibu yake hadharani hasa kwa watu wake wa karibu.

 

Leave A Reply