The House of Favourite Newspapers

Ripoti ya CAG Kuanza Kuchambuliwa Bungeni

0

Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Tanzania vitaanza Jumatatu ya 18 hadi 30 Oktoba 2021. Pamoja na mambo mengine, vitachambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Leave A Reply