The House of Favourite Newspapers

Riyama Awashambulia Wezi wa Akaunti za Mastaa

Riyama na Mume wake.

MSANII wa Bongo Muvi nchini Riyama Ally, ‘Riyama’, amewafungukia na kuwashambulia wezi wa mtandaoni wanaofanya hivyo kwa kutumia akaunti za watu maarufu.

Akaunti ya Riyama

Amesema wezi hao wameichukua akaunti  ya mumewe na kufuta picha zote kisha kutangaza kuiuza kwa Sh. 70,000.

Aidha Riyama ameeleza kuwa mwizi huyo ameshapatikana na watamchukulia hatua za kisheria ili liwe fundisho kwa wezi na matapeli wengine wa mtandaoni.

Ujumbe wa Riyama Instagram

  Salum Milongo/GPL

Comments are closed.