The House of Favourite Newspapers

Rommy Ashindwa Kumnunulia Gari Shilole Valentine’s Day

0

KATIKA msimu wa Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) ambayo iliadhimishwa juzi Jumatatu, Februari 14, 2022, mume wa mwanamama Shilole, Rommy anasema kuwa alipanga kumnunulia mkewe huyo gari ila ameshindwa kwa sababu mambo yake hayajakaa sawa.

Hata hivyo, Rommy ameahidi kufanya hivyo Valentine ya mwakani!

“Valentine hii nilipanga nimnunulie gari, lakini michakato imekaa ndivyo sivyo kuna kitu nitampa Inshallah,” anasema Rommy.

Leave A Reply