The House of Favourite Newspapers

RONALDO WA MISOSI ASAINI KUICHEZEA MBEYA CITY

0

Mbeya City imeendelea kujiimarisha baada ya kufanikiwa kunasa saini za wachezaji watatu akiwemo straika Idd Seleman maarufu kwa jina Ronaldo wa Misosi FC ya Dar es Salaam.

Timu hiyo pia imefanikiwa kumpa mkataba mpya beki wake kisiki John Kabanda, ili aendelee kuitumikia klabu hiyo.

Kabanda ni miongoni mwa wachezaji wachache waliounda kikosi hicho tangu msimu wa 2013/2014.

Leave A Reply