The House of Favourite Newspapers

Shamsa: Nikitongozwa Pesa Kwanza

0

Mwanamama kunako Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba inapotokea akatongozwa saa mbili asubuhi, basi kinachofuata saa tatu kasoro ni kuomba.

Shamsa anasema anafanya hivyo ili kumuona kama mwanaume huyo yupo siriaz au ni mtu wa aina gani.

Anasema kila mwanamke anataka mwanaume wa kumhakikishia maisha ili inapotokea akawa na tatizo f’lani, basi awe na uhakika wa kumsaidia na mambo ya umeamkaje, umevaaje au umekula kwa upande wake hayana nafasi.

Cc; @sifaelpaul

Leave A Reply