The House of Favourite Newspapers

SHEHENA ya SUKARI Yatua Arumeru, Sasa Mambo Safi! – Video

0

Hatimae Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amefanikisha upatikanaji wa sukari tani 23 sawa na mifuko 580 kwa awamu ya kwanza ambayo itauzwa kwa bei elekezi ya rejareja ya shilingi 2,800 kwa Kilo 1, ambayo ndio bei elekezi kwa mkoa wa Arusha.

 

DC Muro amesema katika awamu ya pili ya ugawaji wa sukari Wilayani humo, amefanikiwa kutoa mifuko ya sukari 1,085 ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha uhaba bidhaa hiyo unakwisha. Pia amewataka Wafanyabiashara kuuza kwa bei elekezi ya serikali.

 

Leave A Reply