The House of Favourite Newspapers

Shilole Amwaga Machozi Akijizawadia Gari La Mil 70 Kwenye Birthday Yake, Akata Mauno – Video

0


Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed ametimiza umri wa miaka 36 Desemba 20, 2023 na amejizawadia gari aina ya Toyota Prado alilojinunulia mwenyewe lenye thamani iliyotajwa kuwa ni Tsh. milioni 70 ambalo amekua akililipia taratibutaratibu kwa kampuni iliyomuuzia.
Shilole amepigwa na mshangao baada ya kufanyiwa suprise na wadau hao kwakuwa hawakumwambia kuwa atalipata gari lake.

Leave A Reply