The House of Favourite Newspapers

“Show Love” Tule Shangwe ya Vodaocm Yatoa Zawadi Kemkem Mjini Kahama

0

Mshindi wa promosheni ya Vodacom “Show Love, Tule Shangwe”, Veronica Kalamu (wa pili kulia) mkazi wa Runzewe akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja kutoka kwa Mkuu wa mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya (wapili kushoto). Wengine kulia ni Meneja Mwandamizi Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akabarali na kushoto ni Meneja wa Vodacom Kahama, Undule Mwamkamba, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika viwanja vya Phantom mjini Kahama. Msimu huu wa sikukuu Vodacom inatoa zawadi kwa wapendanao ambapo wateja wanaweza kununua bando na kutumia huduma ya M-Pesa kwa kupiga *149*01# 

 

Maofisa wa Vodacom na wageni wengine waalikwa wakiangalia matukio yanavyoendelea kwenye makabidhiano hayo.            
Leave A Reply