The House of Favourite Newspapers

Siri Nzito Makaburi ya Kinondoni: Miili ya Maskini Kufukuliwa na Kuzikwa za Matajiri

0

Hii ni makala maalum ya kiuchunguzi iliyofanywa na timu ya uchunguzi ya Global TV Online, kuhusu makaburi maarufu Dar, nayo ni makaburi ya Kinondoni, madai ya miili ya maskini kufukuliwa na kuzikwa za matajiri, na mengine mengi, matajiri kununua maeneo ya kuzikwa kwenye makaburi hayo kabla ya kufa.

 

Leave A Reply