The House of Favourite Newspapers

T.I na Mkewe Mbioni Kupandishwa Kizimbani

0

RAPA T.I. na mkewe Tiny Harris sasa huwenda wakaburuzwa mahakamani kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono kwa wanawake, tuhuma ambazo zilitolewa na wanawake zaidi ya 25 wiki iliyopita.

 

Sasa mmoja kati ya wahanga hao ameenda mbali na kumtafuta mwanasheria maarufu na hodari aitwaye Lisa Bloom kwa ajili ya kusimamia kesi hiyo dhidi ya T.I. na mkewe. Lisa ametupasha kwamba “Good Lord. So many accusers.

 

And now I represent one of them.” aliandika mwanasheria huyo ambaye anasifika kwa kushinda kesi za masuala ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya wanawake.

 

Leave A Reply