The House of Favourite Newspapers

Taarifa Muhimu Kuhusu Msiba wa Mukhsin Mambo

0

 

JUMUIYA ya Watanzania waishio New York nchini Marekani inasikitika kutangaza kifo cha mwandishi wa habari na mtangazaji mkongwe, Mukhsin Mambo, kilichotokea Februari 8, 2021 baada ya kuugua kwa muda mfupi hapa Brooklyn, New York.

 

Taratibu za kuusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani Tanzania zinaendelea na unatarajiwa kufika hapa nchini wiki ijayo ambapo utasafirishwa kwenda nyumbani kwao Mwanza kwa maziko.

 

Familia inaomba wanadiaspora, ndugu, jamaa na marafiki wote wa Mukhsin tushirikiane katika kufanikisha safari ya mpendwa wao, tujitokeze kuchangia safari ya mwenzetu. Familia inatanguliza shukurani.

 

Dada wa marehemu
Pili Mambo Mkita

+255 754 431 018

 

Changia Msiba wa Mukhsin ==> DONATE

Leave A Reply