The House of Favourite Newspapers

Taarifa Za Kushtua Kuhusu Airport Chato Kupasuka Eneo La Kurukia Ndege-Video

0

Baada ya kusambaa kwa Picha Mitandao ya kijamii zikionesha Mipasuko Kwenye barabara Ya Kuruka Na kutua Ndege Kwenye Uwanja wa Ndege Wa Chato uliopo Mkoani Geita, hali ambayo ilionesha Kuwatia Hofu Wananchi Wanaotumia usafiri Wa Ndege, Meneja wakala Wa Barabara Nchini (Tanroad) Haruni Senkunku, ambaye Pia ni msimamizi Wa Uwanja Huo amezungumza na Global TV na kutoa ufafanuzi.

Leave A Reply