×

Tag: ajali

Basi la Saratoga Lagongana na Hiace

AJALI  imetokea majira ya saa 11 alfajiri ya leo Jumamosi, Januari 16, 2021, baada ya basi la abiria, mali ya...

READ MORE

Mmoja Afariki Gari la RPC Likiteketea kwa Moto

GARI la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita na gari ndogo la abiria aina ya Hiace jana, Januari 11, 2021,...

READ MORE

Wawili Wanusurika Basi Likitumbukia Baharini – Video

WATU wawili wamenusurika kifo baada ya basi la Pollman Tours na Safari Company walilokuwa wamepanda kuteleza na kuzama baharini katika...

READ MORE

Wawili Wafariki Katika Ajali Tarime

DEREVA wa Mkurugenzi wa Tarime Mji na Afisa Maendeleo ya Jamii jana Januari 10, 2021, walifariki dunia baada ya gari...

READ MORE

5 Wajeruhiwa Basi ‘Simba Mtoto’ Likipata Ajali Chamwino- Video

WATU watano wamejeruhiwa wakati basi la abiria kampuni ya Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Tanga kupata...

READ MORE

Majeruhi Ajali ya Treni Waruhusiwa Kutoka Hospitali

MAJERUHI  54 wa ajali ya treni iliyotokea Dodoma waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo, wameruhusiwa kutoka hospitali...

READ MORE

Mazishi Familia Moja Waliokufa Kwa Moto Yaacha Simanzi

SIMANZI na vilio vilitanda Jumanne katika mazishi ya familia moja ya Sigfrid Kimbi (44) iliyoteketea kwa ajali ya moto huko...

READ MORE

Watoto 2 Familia Moja Wafariki kwa Moto, Wazazi Watokomea!

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyarugisu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi...

READ MORE

Breaking: Jengo la Kihistoria Laanguka Zanzibar – Video

JENGO la ghorofa linalofahamika kama House of Wonders au Palace of Wonders (Beit Al Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar limeanguka...

READ MORE

Abiria Waliompa Kipigo Dereva Wakamatwa

WATU wanne ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Frester lenye namba za usajili T915 CGU kutoka wilayani Kahama...

READ MORE

RC Mongela Aongoza Kuaga Miili ya 12 Waliokufa Ajalini – Video

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, leo Desemba 16, 2020 amewaongoza mamia ya waombolezaji katika ibada maalum ya...

READ MORE

Breaking News: 14 Wafariki Ajalini Singida

WATI  14 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea mkoani Singida baada ya gari dogo la...

READ MORE

Watatu Wafa Maji Ziwa Victoria

WATU watatu wakazi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu ambao ni wavuvi katika Ziwa Victoria, wamekufa maji kwa kuzama baada...

READ MORE

Manyara: Ajali Yaua 6 Akiwemo Padri

Watu sita akiwemo padri wa kanisa katoliki parokia ya Masaktas jimbo la Mbulu mkoani Manyara, Sixtus Masawe wamefariki dunia katika...

READ MORE

Ajali yaua watu watano Handeni

    Watu watano wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya magari mawili ya mizigo kugongana uso kwa uso wilayani...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Kiteto Apata Ajali Mbaya – Video

Katibu wa CCM Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Daniel Mhina, amenusurika kifo wakati akiendesha gari kutoka kiteteto kuelekea Dodoma. Mkuu wa...

READ MORE

Kamanda Muslim Aanika Chanzo cha Ajali ya Ngara

  Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim, leo Oktoba 26, 2020 amesema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini...

READ MORE

Breaking: Watu 13 Wafariki kwa Ajali, Ngara – Video

WATU  13 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa mkoani Kagera kufuatia ajali ya basi la Emirates ambalo hufanya safari zake...

READ MORE

Ndege za Kivita Zagongana, Tisa Wafariki!

AJALI ya ndege mbili za kijeshi aina ya helkopta za Afghanistan zimesababisha wanajeshi kujeruhiwa huko kusini mwa jimbo la Helmand...

READ MORE

Baba Asimulia Familia Yake Ilivyoteketea kwa Moto – Video

FAMILIA  ya watu watano iliyokuwa ikiishi maeneo ya Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia...

READ MORE

Waziri Kabudi Aruhusiwa Kutoka Hospitali – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Rufaa Mkoa...

READ MORE

Breaking: Waziri Kabudi Apata Ajali Morogoro – Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi, amepata ajali ya gari eneo la Kihonda, na  Morogoro, amepelekwa katika Hospitali...

READ MORE

RC Kigoma Awajulia Hali Zitto, Wenzake Waliopata Ajali

MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amemtembelea na kumpa pole  Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,...

READ MORE

Konda Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watano Temeke Asimulia – Video

NI simanzi baada kupata nafasi ya kukutana na aliyekuwa konda wa Coaster iliyopata ajali na kuuwa watu watano ambapo ameeleza...

READ MORE

Mapigano Kati ya Armenia na Azerbaijan Yapamba Moto

Vikosi vya Armenia na Azerbaijan vimeshambuliana kwa maroketi na makombora wakati ambapo mapigano yanazidi kwenye eneo la Nagorno-Karabach. Armenia imesema...

READ MORE

Hofu Yatanda Hali ya Trump!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, anaendelea kupewa uangalizi wa karibu akiwa hospitali ambako anapokea matibabu ya Covid-19. Kuna tashwishi kuhusu...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Ajali ya Daladala na Lori Dar – Video

WATU watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyohusisha daladala na lori la mchanga katika...

READ MORE

Wanafunzi Wafariki Katika Mlipuko wa Lori la Mafuta

WATU wapatao 25 wamefariki nchini Nigeria baada ya lori kumshinda dereva  na kukosa uelekeo kisha kugonga magari mengine na tenki...

READ MORE

Breaking: Mgombea Mwenza wa Urais Anusurika Kifo kwa Ajali Mbaya

Gari alilokuwa akiitumia Mgombea Mwenza wa Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

READ MORE

10 Wafariki Ghorofa Likiporomoka

WATU zaidi ya kumi wanahofiwa kupoteza maisha, huku wengine zaidi ya 25 wakiwa wamefukiwa na kifusi, kufuatia kuporomoka kwa jengo...

READ MORE

Wanafunzi Wawili Wafariki Wakiogelea Kwenye Bwawa Dar

WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi ya St. Claret ya jijini Dar es Salaam, wamekufa baada ya kudaiwa kuzama kwenye...

READ MORE

Mtwara: Baba, Mtoto Wafariki Ajalini

WATU watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya...

READ MORE

Watu 50 Wahofiwa Kufa kwa Kufukiwa na Kifusi Machimboni

Zaidi ya watu 50 wanahofiwa kupoteza maisha, baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa kwenye machimbo ya dhahabu katika eneo la...

READ MORE

Basi Lapinduka Mbeya, Watu 22 Wajeruhiwa

BASI la abiria lenye namba ya usajili T.629 CQC Scania lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Mwanza limeacha njia na kupinduka kisha...

READ MORE

Makamu wa Rais Anusurika Kuuawa kwa Bomu

MAKAMU wa Rais wa Afghanistan, Amrullah Saleh, amenusurika kifo baada ya watu wanaosadikiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Taleban, kushambulia...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuchoma Moto Basi Lake

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321...

READ MORE

Lulu Diva, Belle 9, Bonge la Nyau Wapata Ajali

  WASANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau, wamepata ajali ya gari alfajiri ya leo,...

READ MORE

Kigoma: Mtoto Darasa la Pili Alipukiwa na Bomu, Afariki!

MTOTO mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha...

READ MORE

Ajali Basi la NBS na Gari Dogo Yaua Watano Shinyanga

WATU watano wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha gari ndogo lililogongana na basi  la Kampuni ya NBS katika kijiji...

READ MORE

Aliyeangukiwa na lori Akilitengeneza “Nimevunjika Mgongo” – Video

Hakika kabla hujafa hujaumbika na hivi ndivyo ambavyo imekuwa kwa kijana Samweli ambaye amelala kitandani kwa miaka 12 baada ya...

READ MORE