CCM Yafanya Uteuzi Wa Wanachama Watakaoongoza Nafasi Zilizoachwa Wazi
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida, iliyokutana leo tarehe 30 Juni, 2024 jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja…
