Fahamu Athari za Vyakula Vyenye Wanga Mwilini
LEO nataka nikueleze kidogo kuhusu sayansi ya chakula aina ya wanga. Mwili wako hutumia vyakula vikuu aina tatu ambavyo ni wanga, protini na mafuta.
Unatakiwa ujue kuwa gramu moja ya wanga hutengeneza nishati ya mwili kalori nne,…