Lulu Afunguka Mapya Hakuna Starehe Ambazo Hajapitia, “Maisha ya Ujana Yaacheni”
Elizabeth Michael almaarufu Lulu au Mama G; ni staa wa Bongo Movies tangu kitambo hicho akiwa na umri wa miaka mitano hadi leo ni mke na mama ambaye anasema kuwa, hivi sasa ni mtu wa kukaa nyumbani tu kila wakati kwa sababu ukweli ni…
