Mayele: Hawa USM Alger Siwaachi Azungumza na Championi
KUELEKEA mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, straika hatari wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele amechimba mkwara mzito kuwa licha ya kwamba ni mara ya kwanza kwao kucheza hatua hiyo lakini wanaamini wana nafasi kubwa ya…
