Breaking News: Daka Bando la Bure Chapchap!
MAMBO si ndo haya sasa, daka bando chap chap, usipitwe! Wale wasomaji wa Magazeti ya Global Publishers kwa njia ya mtandaoni wameanza kujinyakulia zawadi za bando la wiki ambapo leo washindi 10 wamepatikana kupitia droo na kupatiwa…