Ndugai Aweka Wazi Adhima Yake ya Kung’atuka, Aomba Asieleweke Tofauti
MBUNGE wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai ametangaza kutogombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Ndugai amesisitiza kuwa jambo la kustaafu alikwishalipanga tangu muda mrefu na kwa maamuzi hayo anaomba asitafsiriwe kuwa…
