Ajali Mbaya: Mabasi Yagongana Uso kwa Uso, 37 Wapoteza Maisha
JUMLA ya watu wasiopungua 37 wamefariki Dunia baada ya kutokea kwa ajali ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la kijiji cha Jakana, kilichopo umbali wa kilomita 35 nje ya mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria.…
