The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Mayele

Senzo Aionya Simba kwa Mayele

KASI ya ufungaji mabao aliyonayo mshambuliaji Mkongomani wa Yanga, Fiston Mayele kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu imemuibua Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Senzo Mbatha ambaye ameweka wazi kuwa wapinzani wao katika michezo ijayo…

Dube Amchimba Mkwara Mayele

STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi nzuri na kuwania Tuzo ya Ufungaji Bora msimu huu. Dube aliyasema hayo baada ya kufanikiwa…

Ng’ombe wa Mayele awaibua Simba

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amerusha Kombora kwa watani zao wa Jadi Young Africans, baada ya Mshambuliaji wao Fiston Mayele kukabidhiwa zawadi yake ya Ng’ombe. Mayele aliahidiwa zawadi hiyo baada ya mchezo…

Nabi Amuombea Ulinzi Mayele Yanga

KASI ya Fiston Mayele katika ufungaji mabao msimu huu imemuibua kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ambaye ameweka wazi kuwa staa huyo amekuwa na wakati mgumu akikamiwa na wapinzani na kuomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa…

GSM Yampa maagizo maalum Mayele

RAIS wa Makampuni ya GSM Group, Gharib Salim Mohammed, juzi Jumapili aliwaalika mastaa wa Yanga nyumbani kwake Kigamboni, Dar es Salaam wakiongozwa na Fiston Mayele na Chico Ushindi kwa ajili ya kula chakula cha mchana sambamba na…

Lusajo: Nitampoteza Mayele

KINARA wa wafungaji kwenye Ligi Kuu Bara mpaka sasa, Reliants Lusajo, amemtangazia vita mpinzani wake mkubwa katika vita ya ufungaji bora msimu huu, Fiston Mayele akisema amejipanga kuendelea kutupia mabao kwa kila nafasi atakayoipata.…

Nabi Ahaha Kupata Pacha wa Mayele

UNAAMBIWA huko kwenye mazoezi ya Yanga, kocha wao mkuu raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, ameonekana kuhangaika usiku na mchana kutengeneza uwiano wa Fiston Mayele, Heritier Makambo na Yusuf Athumani ili aweze kuwatumia pamoja. Licha…

Yanga Washtukia, Wamuonya Mayele

MABOSI wa Yanga ni kama wameshtukia vile, unaambiwa juzi walimuita straika wao Fiston Mayele kufanya naye kikao na kumuonya kuhusu suala la kuzungumza na waamuzi pamoja na kupunguza jazba kila anapokuwepo uwanjani. Hiyo ni kutokana…

Mayele Mchezaji Bora wa Mwezi

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amechaguliwa mchezaji bora Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022. Kikao cha kamati ya Tuzo cha TFF kilichokutana mwishoni mwa wiki kilichokutana mwishoni mwa juma…

Mayele Limemkuta Jambo Yanga

BAADA ya kuona mabeki wa timu pinzani wakimkamia kila wanapokuwa uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amemtaka straika wake, Fiston Mayele kuhakikisha hakai na mpira mguuni kwa muda mrefu ili kujiepusha na…

GSM Wamuita Mayele Fasta

YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini wao, GSM kumuita fasta mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Fiston Mayele kwa ajili ya mazungumzo. Fiston…

Mashabiki Simba Wamvaa Mayele

MASHABIKI wanaodhaniwa kuwa ni wa Simba jana walijitokeza kwa wingi Bandari ya Dar es Salaam kuwapokea watani zao wa jadi, Yanga ambao waliwasili wakitokea Zanzibar, zaidi walionekana wakimganda straika Fiston Mayele na kupiga naye…

Familia Yamuondoa Mayele Yanga

  MSHAMBULIAJI tegemeo katika kikosi cha Yanga Mkongomani, Fiston Mayele jana asubuhi alirejea nyumbani kwao, DR Congo kwa ajili ya kumaliza matatizo ya kifamilia. Mshambuliaji huyo anaondoka nchini baada ya juzi kutoka kuifungia timu…

Mayele aionya Simba

MSHAMBULIAJI kinara wa mabao ndani ya klabu ya Yanga mpaka sasa, Fiston Mayele amewaonya wapinzani wao kwenye mbio za ubingwa msimu huu wakiwemo watani zao wa jadi Simba kuwa, wanataka pointi tatu za michezo iliyo mbele yao na…

Mayele, Kibwana Majeruhi Yanga

BEKI kisiki wa Wananchi, Kibwana Shomari na straika namba moja wa timu hiyo, Fiston Mayele ni miongoni mwa nyota wanne wa Klabu ya Yanga ambao wanakabiliwa na majeruhi ndani ya kikosi hicho. Mwingine ni Yusuf Athumani pamoja na Yacouba…

Mayele: Nitaifungia Yanga Mabao 20

TAYARI ameshaweka kimiani mabao mawili kwenye Ligi Kuu Bara, huyu ni Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ambaye ameliambia Championi Jumatano kuwa, msimu huu amepanga kuifungia timu hiyo zaidi ya mabao 20. Mayele tangu atue ndani ya…

Nabi Amjaza Upepo Mayele Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi…