Majaliwa: Uwekezaji Nchini Hautakwama, Serikali Itawaunga Mkono Wawekezaji
				WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wawekezaji ili kuhakikisha uwekezaji wao haukwami bali unakua na kuleta tija.
 
Amesema…			
				 
			