Breaking: Rais Samia Ateua Mwenyekiti Mpya wa NEC
Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Jackob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa…
