The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

SPIKA

CCM Yampitisha Dkt. Tulia Uspika

BREAKING NEWS: Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi Januari 20, 2022 imempitisha Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurithi nafasi ya Job Ndugai…

Warithi wa Ndugai Wafikia 51

NAFASI iliyoachwa wazi ya Uspika wa Bunge la Tanzania na Job Ndugai, imeendelea kushindaniwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wamefikia 51. Ndugai aliyeongoza muhimili huo wa Bunge kuanzia Novemba 2015,…

UWT Wamtaka Ndugai Ajiuzulu

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi - CCM (UWT) Mkoa Arusha wamemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ajiuzulu wadhifa wake huo ili awaachie watu wengine. Kauli hiyo imetolewa na…

Ripoti ya CAG Yatua Bungeni

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasili bungeni jijini Dodoma leo na Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ataikabidhi ripoti kwa kamati mbili za Bunge. Akizungumza bungeni leo, Ndugai amesema…

Ndugai: Nitawalinda Wabunge Viti Maalum CHADEMA

SPIKA wa Bunge la 12, Job Ndugai, amesema, kanuni za Bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao, hivyo  ameahidi kufanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiana na TBC…

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu

Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  Chama cha Mapinduzi  CCM ambayo iliketi jana Dodoma  imempongeza Rais John Magufuli kwa kushinda kiti cha urais kwa muhula wa pili ya mwaka 2020-25. Pia imewapendekeza Job Ndugai…

CCM Yatangaza Nafasi za Spika, Meya

BAADA ya kukamilika kwa uchaguzi mkuu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimepata ushindi mkubwa kimewaalika wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za vyombo vya uongozi ikiwa ni pamoja na nafasi ya spika na naibu…