Uingereza Yaridhishwa Mchakato wa Uchaguzi TZ
NCHI ya Uingereza imesema inaridhishwa na namna mchakato wa uchaguzi unavyoendelea hapa nchini.
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 5, 2020, na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar mara baada ya kukabidhi hati ya…
