Live Bungeni: Wabunge Wanawabananisha Mawaziri Kwa Maswali, Spika Tulia Anaongoza Kikao
Bunge la 12 limeendelea leo Mei 17, 2022 ambapo wabunge wamechangia hoja zao katika bajeti ya wizara ya afya inayoongozwa na Waziri Ummy Mwalimu.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/…