Kiongozi wa Upinzani Zimbabwe Aachiliwa Kutoka Jela
Kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe Job Sikhala, ambaye amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, ameachiliwa Jumanne, baada ya mahakama ya Harare kumpa kifungo cha nje.
Sikhala mwenye umri wa miaka 51 na ambaye ni mkosoaji…