The House of Favourite Newspapers

Tanasha Ambip Mondi

0

Ni kweli Mzazi mwenza wa Msanii wa Bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna anamjaribu Mondi?

 

Ndilo swali lililoibuka baada ya mrembo huyo kutoka pande za Kenya, kuandika ujumbe katika mtandao wake wa Instagram kuwa “Waheshimu akina mama wote ambao wanafanya chochote kwa ajili ya watoto wao.”

 

Hata hivyo, wanamitandao na mashabiki wake walisema kwamba ujumbe wake wa kuwapongeza wanawake unaweza kuwa unamaanisha kwamba Diamond hamsaidii mwanawe Naseeb Junior.

 

Ujumbe wake Tanasha umekuja siku chache baada ya Diamond kutoa picha za mwanawe kwenye mitandao yake ya kijamii.

Leave A Reply