The House of Favourite Newspapers

Tanasha Kwa hali hii, Ataiona bongo chungu!

0

WABONGO bana wana mambo sana! Tanasha Donna ambaye ni mzazi mwenza wa sasa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jinsi anavyoshambuliwa ataiona Tanzania chungu.

 

Hali hiyo inakuja baada ya kurasa nyingi kwenye mtandao wa Instagram kupambwa na picha ya Tanasha ambayo amevaa gauni lenye mpasuo mkubwa unaomuonesha mpaka sehemu nyeti, hali iliyosababisha watu wamshambulie kwa lugha chafu huku wakisema staili ya hiyo nguo ni kama mapazia au kipepeo akiwa anaruka.

 

“Iyo pazia mkononi si angelizibia hapo kwenye paja au ndiyo kufa na fashion, paja lenyewe kama anabebaga vyuma,” aliandika mmoja wa wadau mtandaoni humo. 

Leave A Reply