The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Hakimu Mwambapa Afariki Dunia

0

MAHAKAMA ya Tanzania imetangaza kifo cha Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Wilaya Nanyumbu Mtwara, Godfrey Mwambapa, kilichotokea leo asubuhi akipelekwa Hospitali.  Msiba upo nyumbani kwake Nanyumbu na taratibu za kusafirisha mwili kuelekea Mbeya zinafanyika.

Leave A Reply