Kartra

Tanzia: Zakaria Hans Pope Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo, Zakaria Hans Pope amefariki dunia jioni ya leo Ijumaa, Septemba 10, 2021 katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

…………

Taarifa kutoka @simbasctanzania:
………….

Uongozi wa Klabu ya Simba umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Zacharia Hans Pope ambaye amefariki dunia usiku huu.
Taarifa zaidi zitawajia kupitia kurasa.


Toa comment