The House of Favourite Newspapers

Toeni Taarifa Kwenye Tatizo Kipindi cha Mvua-TANESCO

0
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), Dkt. Tito Mwinula akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani).
Meneja Utekelezaji wa Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), Eng. Simon Kihiyo, akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari.

 

Kaimu Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme (TANESCO), Leila Muhaji naye akifafanua jambo.

SHIRIKA la Umeme Tanzania(TANESCO) limetoa taadhari kwa Wananchi wote kutoa taarifa kipindi hiki cha mvua mara inapotokea hitilafu yoyote kwenye miundombinu ya umeme inayosababishwa na mvua au sababu nyingine.

Na Denis Mtima|GPL

Leave A Reply