The House of Favourite Newspapers

Ubungo: Prof. Kitila Achukua Fomu ya Ubunge NEC

0

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Kitila Mkumbo  na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, Issa Mtemvu,  wamechukua fomu za kugombea nafasi hizo katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo zilizopo Kibamba.

 

Mkumbo na Mtemvu ambao ni miongoni mwa maingizo mapya ya CCM katika kinyang’anyiro hicho, wamekabidhiwa fomu hizo na Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Ubungo, Bi. Beatrice Dominick, leo Ijumaa, Agosti 21, 2020.

 

Leave A Reply