The House of Favourite Newspapers

Unakosaje Vitu vya Chee Kama Bure Kabisa – Video

0

 

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara wa vitu mbalimbali vya majumbani kwa bei chee. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya DBC CONTRACTOR LTD Jumamosi ya Novemba 28, 2020 kuanzia saa 4 asubuhi tutauza kwa mnada wa hadhara vitu vifuatavyo:-

Music system, table gas stove, sanitary ware (masinki ya kunawia mikono, kuoshea vyombo, masinki ya jikoni, vyoo vya kukaa. deck za dvd/mp3 radio na vitu vingine vingi. Ukaguzi wa mali hizi unaruhusiwa siku mbili kabla ya mnada muda wa saa za kazi kuanzia 3:00 asubuhi – 10:00 jioni.

 

MASHARITI YA MNADA

1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa asilimia mia moja (100%) hapo hapo.

2. Mnunuzi atalazimika kuondosha mali aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu hapo hapo siku ya mnada.

3. Gharama zote za kutoa mali alizonunua ni za mteja mwenyewe.

4. Mali itauzwa kama ilivyo.

5. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza Mori karibu na Big Bon Petrol Station mkabala na Laachaz Pub au piga simu na. 0713 327989 au 0715 683777.

Nyote mnakaribiahwa!

Leave A Reply