The House of Favourite Newspapers

Kifo cha Nabii Katapila, Mazito Yaibuka – Video

0

KUFUATIA kifo cha mtumishi wa Mungu, Abraham Peter maarufu kama Nabii Nabii Abraham Peter maarufu kama Katapila, ambacho kimeibua utata mkubwa kutokana na mwili wa marehemu kukutwa sehemu zake za siri zimekatwa na majeraha mengine, Global TV ONLINE imefanya mahojiano na rafiki wa karibu za marehemu pamoja na RPC wa Arusha, Justine Masejo ili kufahamu undani wa kifo hicho kilicholeta utata mkubwa.

 

Nabii Katapila mwili wake ulikutwa nje ya geti la Hospitali ya Mount Meru Arusha akiwa tayari ameshafariki huku akiwa amevuja damu nyingi kutokana na jeraha kubwa mguuni.

Leave A Reply