The House of Favourite Newspapers

Usajili wa Tuisila Kisinda Wazua Utata, TFF Yaibuka na Kutoa Tamko Rasmi

0

 

MCHEZAJI wa Klabu ya Yanga Tuisila Kisinda ambaye amejiunga na klabu hiyo akitokea Rs Berkane amezuiliwa kucheza baada ya usajili wake kuoneka kuchelewa. Mchezaji huyo alitambulishwa siku ya mwisho ya usajili amezua gumzo kutokana na kanuni za soka la Tanzania.

 

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limetoa maelezo ya kikanuni yanayoelezea jins ya usali wa wachezaji ulivyofanyika katika barua hiyo iliyotolewa leo tarehe 5 imeonyesha kanuni inayowataka vilabu kusajili wachezaji wa kigeni wasiozidi 12.

 

Imeandikwa:Dunstan Mtili Erick

Leave A Reply