The House of Favourite Newspapers

Usiku wa Anjella: Wasanii Wavamia Jukwaa la Harmonize – Video

0

USIKU wa Machi 12, First Lady wa Konde Gang, Anjella, amekaribishwa rasmi kwenye lebo ya Konde Gang kwa kufanyiwa Party ya nguvu iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakiongozwa na CEO, Harmonize na wasanii wote wa Konde Gang.

Leave A Reply