The House of Favourite Newspapers

VDEO: Historia ya JPM na Fikra za Kujilisha Bila Kuombaomba!


Ukilitaja jina la Magufuli, mabepari wanachanganyikiwa, wapiga dili Wanamakerazembe wanahaha, vigogo wababaishaji presha juu, wafanyakazi ndo usiseme, siku hizi hata walimu wa shule za msingi wanawahi kazini.

Zamani aliwahi mwalimu wa zamu tu, wazalendo wakiliskia jina hilo kwanza wanagonga cheers, halafu wanamuona Patrice Lumumba kwa mbaali akiwaambia wazungu sisi si Nyani wenu tena.

Comments are closed.