The House of Favourite Newspapers

Video: DC Mwaisumbe Awapa Shule Lisu Na Mbatia Sakata La Ndugai Kujiuzulu

0


Baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, Januari 06, 2022 kumekuwa na maneno kutoka kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa wakihoji na kupinga hatua aliyoichukua Ndugai.

 

Global TV Online imefanya mazungumzo maalum na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Frank Mwaisumbe ambaye amezungumza kwa undani juu ya sakata hilo.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply