The House of Favourite Newspapers

Video: Diamond Afunguka Ishu Ya Baba Yake

0

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, leo Januari 19, 2021 ameongea na wanahabari katika ofisi za Wasafi Media zilizopo Mbezi jijini Dar es Salaam.

Moja kati ya maswali ambayo aliulizwa kwenye Mkutano na waandishi wa habari ni swala la jina la Baba analotumia kwa sasa.

 “Tunaomba uteweke sawa waandishi tuandike jina gani la Baba yako kwenye habari zetu tutokana na utatauliojitokeza?” alisema Mwandishi

Kwa upande wa Diamond alijibu kuwa hapa sio sehemu sahihi ya yeye kulizungumzia swala hilo ila hivi karibuni atafanya mahojiano kabla ya Tamasha la #WasafiTumewashaNaTigo kuweka wazi kila kitu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply